Hakuna Chenji
Abiria analipa lakini conductor hana change ya kumrudishia.

ZanMove
Inapakia…

ZanMove
ZanMove inaunganisha abiria, waendeshaji, madereva, makondakta na mamlaka kupitia mfumo mmoja wa kidijitali wa malipo, usimamizi wa safari na transport intelligence.
Powered by Farman Connect Partnership
Abiria analipa lakini conductor hana change ya kumrudishia.
Mabadiliko ya nauli yanaweza kusababisha mkanganyiko kati ya abiria na waendeshaji.
Transactions nyingi bado zinategemea cash na manual records.
Ni vigumu kupata picha ya wakati halisi ya demand, routes na transport operations.
Mtiririko mmoja unaounganisha abiria, waendeshaji na mamlaka.
Abiria anascan QR ya ZanMove kwenye gari.
Mfumo unatambua route na official fare.
Abiria analipa kiasi rasmi kupitia payment channel inayopatikana.
Anapata confirmation/receipt na kuendelea na safari.


Imeundwa kupunguza interaction wakati wa kuendesha.

Nauli haijawekwa na passenger, driver, conductor au owner. Mfumo hutumia official fare iliyowekwa na mamlaka husika kwa route hiyo.
Nauli ikibadilika, mfumo hubadilika automatically kulingana na effective date.
Payment confirmation kupitia provider.
Kila user anaona anachoruhusiwa kuona.
Sensitive actions zinafuatiliwa.
Taarifa binafsi zinalindwa kwa security controls.
ZanMove inabadilisha transport transactions kuwa actionable mobility intelligence.
Rahisi, transparent na convenient.
Fleet management na financial visibility.
Better regulation na data-driven planning.
Digital jobs, technology adoption na formalization.

ZanMove is an innovation developed and operated by Farman Connect Partnership to help transform Zanzibar's public transport ecosystem through digital payments, transport management and mobility intelligence.
Tujenge pamoja usafiri wa Zanzibar ulio rahisi, salama, transparent na wa kidijitali.